....SEMINA SEMINA SEMINA YA NENO LA MUNGU....

.....tuzidi kuiombea semina inayotarajiwa kufanywa ijumaa ya mwisho wa mwezi huu wa januari...(tarehe 30 januari)

...ombea uwepo wa Mungu na Jeshi lake watawale...

....ombea muamko wa wanafunzi wote na wote wanaopaswa kuwepo...

.....ombea kila jambo unalopata mzigo juu yake...

.....mwisho panga ratiba yako vyema siku hiyo usikose mtumishi wa Mungu na utabarikiwa...

No comments: