....baadhi ya picha katika kipindi cha unasishaji wa mkanda wa pili wa video wa kwaya ya USCF BUGANDO(HAUTIKISIKI) albamu ya SEMA USINYAMAZE.....
...fanya juu chini usikose uzinduzi wa mkanda huo siku ya jumapili tarehe 21/06/2015 kuanzia saa 7 mchana...pia hakikisha unapata nakala yakoooo....
...baadhi ya picha katika semina iliyofanyika kuanzia tarehe 1 hadi 3 mei mwaka 2015....
....kwaya ya USCF Bugando ndani ya AICT Makongoro....(picha)..
.....baadhi ya matukio katika usiku wa kusifu na kuabudu, tamasha lilifanyika tarehe 13/02/2015 chuoni Bugando ukumbi wa Md 1,...(ushirikiano wa TAFES NA USCF BUGANDO) picha kama zifuatavyo chini...
WANAKWAYA KUTOKA CHUO CHA SAYANSI YA AFYA NA TIBA BUGANDO NA WAGENI WAO KUTOKA CHUO KIKUU CHA MTAKATIFU AGUSTINO (SAUT), BAADA YA IBADA YA JUMAPILI WAKIWA PAMOJA WAKIPATA CHAI NA KUBADILISHANA MAWAZO..
picha ya pamoja
Makamu mwenyekiti wa kwaya dada Shukran akiteta jambo na katibu mkuu wa kwaya kaka Fredrick
Dada Agata mwana miradi wa kwaya, akifurahia ukuu wa MUNGU
Wapendwa wakiagana
Tayari kwa safari kurudi chuoni Saut
Zaburi 147:1 Haleluya. Msifuni Bwana; Maana ni vema kumwimbia Mungu wetu, Maana kwapendeza, kusifu ni kuzuri.
..........baadhi ya picha na matukio katika semina ya tarehe 30 januari 2015 , siku ya ijumaa usiku........
No comments:
Post a Comment