...........Ibada imeanza saa moja na nusu asubuhi na kuisha saa nne na dakika 45 asubuhi, ibada ilifunguliwa kwa maombi na wakristo wote wakiongonzwa na kiongozi wa ibada kaka LUGINIO ILOMO (MD5)..........
.......Ikafuatiwa na praise team.
mambo yakaendelea kuwa mazuri baada ya kwaya kuimba na kumsifu mungu kwa nyimbo mbili...
...baadae wageni kutoka chuo kikuu cha mtakatifu Agustino (SAUT)......
.......katibu mkuu uscf akasoma matangazo akishirikiana na makamu mwenyekiti wa usuf bugando ambaye aliwakaribisha wageni wetu wanakwaya kutoka uscf saut......
....praise team wakasimama kuimba kabla ya mchungaji kuanza kuhubiri....
....mchungaji alisimama na kufundisha juu ya madhara ya dhambi zinazofanywa kwa siri...
....tulipata neema ya kutafakari maneno haya kutoka katika biblia takatifu.....
Yoshua 7:1, 19:26 isaya 19:15 matendo ya mitume 5:1 zaburi 90:8 mithali 20:27
.....baadae ilifanyika harambee kwa ajili ya video shooting ya kwaya ikiongozwa na kaka Benard Masawe (md3) pamoja nae kaka Marko Hingi (md5)........
......mwenyekiti wa idara ya uinjilisti, kaka SHADRACK alipata nafasi ya kukumbusha juu ya ibada za katikati ya wiki (kila siku asubuhi saa 0600-0645 ni maombi , jumanne saa 1700-1800 ni kusifu na kuabudu, alhamisi saa1700-1800 ni neno, ushuhuda na majadiliano ya biblia)...
.................wageni waliimba wakati wa kutoka..........
................mwisho mchungaji akafunga ibada na kuwaombea wakristo wote baraka.............
TAFAKARI YA LEO; NI MAMBO GANI UNAYOFANYA KWA KUJIFICHA MBELE ZA WANADAMU AMBAYO NI CHUKIZO KWA MUNGU ?
UJUMBE: Huwezi kuficha jambo lolote mbele za MUNGU...
............asante kwa kutembelea blog hii (pia tunapatikana facebook tembelea na like uscf bugando) MUNGU AKUBARIKI......
No comments:
Post a Comment