¢Day 1: Dhana
ya
kusudi la Mungu (The concept of God’s Purpose)
¢
¢Day 2: Kutambua kusudi la Mungu kwaajili ya maisha yangu binafsi (Discerning God’s purpose over my
personal life )
¢
¢Day 3: Kutoka kwenye ufahamu kuelekea kwenye matendo: Utekelezaji wa kusudi la Mungu (From knowledge to Practice:
Actualization of God’s purpose )
Day
2:
Kutambua kusudi la
Mungu kwaajili ya maisha yangu binafsi
¢Kila mtu yupo duniani kwa kusudi, hakuna aliyeko kwa bahati mbaya. (Haijalishi anajua ama hajui ) “Ignorance of the purpose does not
cancel it.” Myles Munroe
¢Kuna
ombwe
(vacuum) duniani ambalo umekuja kulijaza. Kuna uhitaji ambao ni wewe ndiye umekuja kuutimiliza.
¢Wewe si bahati mbaya, si majaribio wala si tukio lisilo kusudiwa (ajali )… Upo kwa kusudi.
Sura mbili za kusudi la
Mungu
¢Kusudi la Mungu la ujumla kwa wanadamu wote (Corporate
purpose )
ü Ref: Mwanzo 1:26-29; Mwanzo 2:7-8
¢Kusudi la Mungu kwa
mtu binafsi (Individual
purpose )
Namna ya kujua kusudi la
Mungu kwa mtu binafsi
¢Kupitia ndoto Ref: Mwanzo
37:5-7, 9-11
¢Maono
üWakati
akili
inafanya kazi Ref: Luka 1:30-38; Yer 1:4-9
üAkili
haifanyi kazi (Trance ) Ref:
üHalf way Ref: MDO
26: 19, 15-18
¢Kupokea ufahamu – Rhema (neno la Mungu lililovuviwa kwa mtu binafsi) Ref: Dan 9:2
¢
Msukumo kutoka kwenye mazingira Ref: Kut 2:11-12; MDO 7:23-25
Maswali muhimu
¢Je,
kuna
jambo
amabalo linaibukaibuka maishani mwako hata kama unajaribu kulipotezea? (It keeps on surfacing )
¢Je,
kuna
jamabo ambalo upo radhi kulifanya hata pasipo malipo yoyote (posho, mshahara n.k)
¢Je,
kuna
jamabo ambalo ukilifanya huwa unasikia ridhiko la haki ya juu sana? (Unasikia hali ya ukamilifu - satisifaction )
¢Je,
kuna
jambo
ambalo kila ukilitazama unaona ni kama vile ni wewe peke yako unapaswa kulifanya? As if watu wengine wanaofanya wanatega
?¢Jambo gani ambalo huwa ukilifanya huwa kuna matokeo makubwa wakati umetumia uwekezaji kidogo sana (Watu wengine watadhani umetumia muda, nguvu na uwekezaji mwingi )
¢Je,
kuna
jambo
ambalo moyo wako unawaka kulielekea? (You are passionate about it )
Tafakari Muhimu
¢Allegory
ya
Dr. Stephen R. Covey
¢Allegory
ya
msafiri
¢Legacy
– alama
ya
miguu
kwenye mchanga wa historia.
¢Historia ya marehemu
¢Yeremia20:9
Day
3:
Kutoka kwenye ufahamu kuelekea kwenye matendo: utekelezaji
wa
kusudi
la mungu
¢Utafiti mdogo wa maisha ya watu hamsini wenye alama kwenye maisha
¢Kuna
pattern – (mtiririko fulani unaofanana ) inafanana kwenye maisha ya watu hawa
¢The James Purpose Model
Kusudi
Maono/Dira
Utume/Dhamira
Mipango
Malengo
Mikakati
Orodha
ya
mambo ya
siku
kwa
siku
1. Maono/DIRA
¢Mithali 29:18,
“ Pasipo maono watu huacha kujizuia (huvuka mipaka/hukosa kuwa na adabu/ huangamia)…”
Maono ni nini?
¢
Mashindano ya kilimo kwa trekta
¢Habari ya msafiri
¢Mashindano ya mpira wa miguu pasipo miimo miwili kila upande wa uwanja (magoli)
Maono
vs Matamanio
¢Manufaa-
kwa mtu binafsi au kwa jamii? Mf: kununua gari, kujenga nyumba, n.k
¢Mahitaji-
Je, baada ya kujitaabisha kote huko utakuwa umekidhi mahitaji ya nani?
¢Legacy
– Unataka kuacha kitu gani baada ya kuwa umeondoka
duniani?
¢“There
are miracles in life I must achieve, but first I know it starts inside of me”
Robert Kelly
Maono:
Ushauri
kutoka kwenye moyo wa Mungu
Habakuki
2:3, “… Iandike njozi ukaifanye iwe wazi sana katika vibao…”
¢Maono
HUANDIKWA
¢Maono
huwekwa WAZI (yenye kueleweka)
¢Maono
huwekwa WAZI (husomea- legible)
¢Maono
ni LAZIMA yatimilike
2.
UTUME/DHAMIRA
3.
MIPANGO
¢Kwa
muda miaka 2,3,4 hadi 5
¢MAONO
ni jambo kubwa & pana
– linahitaji kukamilishwa hatua kwa hatua.
¢Kutoka
kwenye picha
kubwa (MAONO)
üKuongeza kipato
kwa 35%
üKukuza
uwezo wa kibiashara ya mazao yatokanayo na mifugo (ngozi, maziwa, kwato, manyoya n.k)
üKutengeneza
soko-mtandao na usambazaji nchi
za Afrika Mashariki
üKuongeza idadi ya watu wanaofikiwa na huduma zetu kwa 40% Kanda ya ziwa
4. malengo
¢Kila
mwaka/msimu (mwaka wa fedha, mwaka wa kawaida, mwaka wa masomo)
¢Kutoka
kwenye malengo makubwa
¢Gawanya mipango (split) katika shughuli za mwaka mmoja
TU!
SMART
Specific
– Mahususi
Mfano:
Kuchapisha
na kusambaza vitabu vya hadithi
za Biblia kwaajili ya watoto kwa makanisa
ya kiinjili
na kipentekoste
mkoa
wa Mwanza.
SMart
Measurable
– Hali ya kupimika
Mfano:
Kuchapisha
na kusambaza vitabu 60,000 vya hadithi
za Biblia kwaajili ya watoto kwa makanisa
175 ya kiinjili
na kipentekoste
mkoa
wa Mwanza.
SMArt
Attainable
– Je, lengo
linafikika?
SMARt
Realistic
– Yenye
kuakisi uhalisia na ukweli
SMART
Time
bound – Ukomo
wa muda
MFANO:
Kuchapisha
na kusambaza vitabu vya hadithi
za Biblia kwaajili ya watoto kwa makanisa
ya kiinjili
na kipentekoste
mkoa
wa Mwanza ifikapo Desemba 2017.
5.
Mikakati
¢Ni
lugha
yenye
asili yake kwenye jeshi
na uwanja wa mapigano
¢Ni
mbinu,
njia, namna ambazo hufanyika ili kufikia malengo (SMART)
¢Kumbuka: Mikakati ni njia tu,
si mwisho (they are just means, not end in themselves)
¢Mikakati
inaweza kubadilika, kuunganishwa, kuahirishwa, kuboreshwa ili kufikia lengo
6.
Mambo ya siku kwa siku
(To do list)
Mfano:
Kubainisha
wadau
wa mradi
na kuwashirikisha wazo la mradi – August – October 2014
BY JAMES KALEKWA
No comments:
Post a Comment