...Bwana Yesu asifiwe...
.......USCF (UKWATA) inayofuraha kukukaribisha/kuwakaribisha katika Ibada Ya kwanza mwaka 2015....
....ibada hiyo itafanyika tarehe 11 januari 2015 jumapili na itaanza saa 1:30 asubuhi hadi saa 4:30 asubuhi.....
....watumishi wa Mungu mbalimbali, kwaya na timu ya kusifu na kuabudu wote watakuwepo....
.......njooo wewe, yule na yule ili tumsifu, tumuabudu na kumshukuru huyu Mungu wetu kwa sababu ni mwema sanaaaaaaaaaa.......
........HIIIIII SIYO YA KUKOSA KABISAAAAAAA NA MUNGU AKUTIE NGUVU......
No comments:
Post a Comment