.......Shalom!!!....
...USCF (UKWATA)-BUGANDO, inayofuraha kukukaribisha/ kuwakaribisha watu wote katika ibada ya jumapili.
...ibada itaambatana na harambee kwa ajili ya kufanikisha upatikanaji wa pesa ya kunasisha mkanda wa video (Video shooting) ya albamu ya SEMA .....
....unaombwa kufika bila kukosa katika ibada hiyo....
....kwaya, timu ya kusifu na kuabudu, waimbaji binafsi na watumishi wa MUNGU wengine watahudumu katika ibadA HIYOO....
......MAHALI : MD 1
......SIKU ; JUMAPILI
......TAREHE ; 01/02/2015
.....MUDA ; SAA 1:30 - 4:30 ASUBUHI
...............................BABA YETU WA MBINGUNI AWABARIKI................................
No comments:
Post a Comment