Miradi

USCF Bugando hatuna miradi mikubwa sana ya kutuingizia pesa ya kusaidia kazi ya Bwana.Kwa sasa tuna miradi miwili mradi wa kwanza unao tusaidia ni kupitia kazi yetu ya kumwimbia Bwana kupitia kwaya kwa kuuza DVD na CD. Hizi ni DVD za albam ya kwanza inayoitwa HAUTIKISIKI (video) na CD za SEMA (audio). Gharama yake ni sh.5000/= kwa kila DVD na CD. Tuna tarajia kwanzia mwezi wa sita mwaka huu 2015 tarehe 21 mwezi wa sita tutazindua albam ya pili (video) kazi hiyo kwa sasa ipo mikononi mwa producer ikifanyiwa mchanganyo tunaamini ni kazi nzuri yenye viwango vya juu mara ikiwa tayari mtajulishwa. .
  •  Pili tunamshukuru Mungu kwa sasa tunamradi wa T-shirt, zilizo chapishwa ujumbe wa Mungu kutoka mistari mbalimbali ya biblia, kwa vile tunaanza gharama yake ni Tsh 13,000/= @ T-shirt. Tushirikiane kufanya kazi ya Mungu kupitia T-shirt na utabarikiwa sana. Pia kuna tai zinazouzwa kwa gharama ya Tsh.3000/=.






















2 comments:

Anonymous said...
This comment has been removed by a blog administrator.
YUSUPH J. MUKAMA said...

plz naomba mfanye marekebisho haswa kwenye jina UKWATA iwe USCF BUGANDO MUNGU AWABARIKI