.....wapendwa mnakumbushwa maombi ya asubuhi kuanzia kesho saa 12 alfajiri,... jumatano saa 11 alfajiri na siku nyingine ni saa 12 alfajiri kama ratiba ilivyo...
...pia ibada ya kusifu na kuabudu siku ya jumanne saa 11:00 jioni...
....Ibada ya Neno au Ushuhuda au Maombi siku ya alhamisi saa 11:00 jioni....
......lakini pia mnakaribishwa kujiunga na kikundi cha kwaya, mazoezi ijumaa 10:30 jioni,
jumamosi 10:00 jioni
jumapili 10:00 jioni
...pia mnakaribishwa kujiunga na kikundi cha kusifu na kuabudu, mazoezi, ijumaa 12:30 jioni
jumamosi 12:00 jioni
jumapili 12 :00 jioni
.....sehemu za kufanyia Ibada ni maeneo ya recreation ...
....kwaya na kikundi cha kusifu na kuabudu mazoezi wanafanyia maeneo ya nyuma ya cuhasso cafteria na wote mnakaribishwa.....
No comments:
Post a Comment