..hakika Mungu ni mwema, maana matendo yake ni ya ajabu....
Tunamshukuru Yeye aliyejuu na aliyewezesha tamasha la jana na leo liliokuwa la kusifu likifuatiwa na Semina...
Shukurani zetu pia tunazielekeza kwako wewe ulifika na ambaye bado utaendelea kufika, Hakika hautatoka bure kwani kusudi la Mungu katika maisha yako lazima litimie.
Endelea kuweka semina hii mikononi mwa Mungu ili ikamilike salama na vyema kabisa kwa kumuombea mtumishi, timu ya kusifu na kuabudu, waimbaji binafsi, viongozi, kwaya, timu ya mawasiliano, uongozi wa chuo, hali ya hewa, na vyote utakavyo jisikia kuombea maana Mungu anayathamini maombi yako. Ubarikiwe
Endelea kufika muda ni saa 9 kamili mchana hadi saa 12 jion.
....mtumish JAMES KALEKWA akifundisha katika semina...
.......akiendelea kufundisha...
...timu ya kusifu na kuabudu wakisifu...
........watu wakisifu....
.......kila mwenye pumzi na amsifu Bwana...
....Zakaria kwenye kinanda akiwa na Gambishi [mwenye gitaa]..
...wakati wa kuabudu...
....kuabudu....
........MUNGU WA MBINGUNI AWABARIKI WOTE.....
No comments:
Post a Comment