MAHAFALI YA USCF-BUGANDO

.....TUNAKUMBUSHWA KUTOA MICHANGO YA MAHAFALI KWA AJILI YA KUWAAGA WAPENDWA WETU WATAKAOHITIMU MASAMO YAO MWAKA HUU...

MAHAFALI YANATARAJIWA KUFANYIKA MAPEMA MWEZI WA SABA
JITAHIDI KUTOA MCHANGO MAPEMA ILI MIPANGO IWEZE KUKAMILIKA MAPEMA

KWA- WAHITIMU NI PESA YA KITANZANIA SHILINGI ELFU ISHIRINI TU ( TSH. 20,000/=)
         -  WANAOBAKI NI PESA YA KITANZANIA SHILINGI ELFU KUMI NA TANO TU          ( TSH. 15,000/=)  

...MCHANGO WAKO NI MUHIMU SANA KUWEZA KUKAMILISHA TUKIO HILI....

No comments: