WATU WOTE MNAKARIBISHWA KATIKA USIKU WA KUSIFU NA KUABUDU (CAMPUS NIGHT)



MAHALI;    ukumbi wa md1

SIKU;   ijumaa tarehe 13-february-2015

MDA ;     saa 2000 - 0000

WAHUSIKA;     1  watu wote wote mnakaribishwa
                           2 praise and worship team 
                         3  kwaya ya wanahautikisiki uscf  bugando (zamani ukwata)
                   

( and many other blessed servants of jesus christ will be on the house)

Tafadhali upatapo ujumbe huu mtaarifu na mwingine

kila mwenye pumzi na amsifu BWANA.....

1 comment:

Anonymous said...

Thenk you admin