.....hakika moto uliwashwa na kuuzima ilikua ni kazi kubwa.....
....ni usiku wa kuabudu na kusifu uliofanyika siku ya ijumaa tarehe 13/02/2015 chuoni Bugando, ukumbi wa md 1....
......timu ya kusifu na kuabudu ndio iliyouwasha moto huo kwa ushirikiano na sapoti kubwa kutoka Jeshi la Mbinguni, na Roho mtakatifu aliyekua kiongozi wakati Bwana wa mabwana, Yesu kristo akiwa mgeni rasmi wa tukio hilo.....
....kwaya ya USCF Bugando na waimbaji binafsi wakishiriki katika kuuchochea moto huo.........
....Mtumishi wa Mungu Mch. Raymond(Kwaneema Fm) naye aliwezeshwa kufikisha ujumbe aliotumwa kwa watu wote.....
....si rahisi kufahamu hasa kilichokuwepo, lakini hata kwa muonekano wa kibinadamu ilikua sikazi ndogo na kiroho pia sitaki kukomenti zaidi.....
.....kwa maelezo zaidi tembelea ukurasa wa picha ujionee baadhi na ni baadhi tu ya matukio.....
........Dr. Gambishi akiwa kazini mwa Bwana...
........watumishi wakiwa kazini....
....baadhi wakiabudu...
.....mtumishi Samweli akiwa kazini.....
......Mch. Raymond...
....baadhi ya watumishi wakishuhudia kinachoendelea....
No comments:
Post a Comment