,,......wapendwa mnaohitaji kuona picha mbalimbali, tafadhali fungua ukurasa wa picha .....
unapatikana wapi....?
fungua home page alafu angalia mwanzo kabisa mwa ukurasa na utaona picha, ratiba na vichwa vingine....
...fungua ukurasa huo wa picha ndipo kuna picha za kutosha kwa matukio mbalimbali ya USCF ndani na nje...
...ubarikiwe na mwelekeze na mwingine....
UMOJA WA KIKRISTO WA WANAVYUO VIKUU TANZANIA TAWI LA BUGANDO MWANZA- TANZANIA
....HAKIKA USIKU HUU ULIKUA WA AJABU.......(NIGHT CAMPUS)
.....hakika moto uliwashwa na kuuzima ilikua ni kazi kubwa.....
....ni usiku wa kuabudu na kusifu uliofanyika siku ya ijumaa tarehe 13/02/2015 chuoni Bugando, ukumbi wa md 1....
......timu ya kusifu na kuabudu ndio iliyouwasha moto huo kwa ushirikiano na sapoti kubwa kutoka Jeshi la Mbinguni, na Roho mtakatifu aliyekua kiongozi wakati Bwana wa mabwana, Yesu kristo akiwa mgeni rasmi wa tukio hilo.....
....kwaya ya USCF Bugando na waimbaji binafsi wakishiriki katika kuuchochea moto huo.........
....Mtumishi wa Mungu Mch. Raymond(Kwaneema Fm) naye aliwezeshwa kufikisha ujumbe aliotumwa kwa watu wote.....
....si rahisi kufahamu hasa kilichokuwepo, lakini hata kwa muonekano wa kibinadamu ilikua sikazi ndogo na kiroho pia sitaki kukomenti zaidi.....
.....kwa maelezo zaidi tembelea ukurasa wa picha ujionee baadhi na ni baadhi tu ya matukio.....
........Dr. Gambishi akiwa kazini mwa Bwana...
........watumishi wakiwa kazini....
....baadhi wakiabudu...
.....mtumishi Samweli akiwa kazini.....
......Mch. Raymond...
....baadhi ya watumishi wakishuhudia kinachoendelea....

MAHALI; ukumbi wa md1
SIKU; ijumaa tarehe 13-february-2015
MDA ; saa 2000 - 0000
WAHUSIKA; 1 watu wote wote mnakaribishwa
2 praise and worship team
3 kwaya ya wanahautikisiki uscf bugando (zamani ukwata)
( and many other blessed servants of jesus christ will be on the house)
Tafadhali upatapo ujumbe huu mtaarifu na mwingine
kila mwenye pumzi na amsifu BWANA.....
IBADA YA JUMAPILI TAREHE 8/2/2015 ILIYOFANYIKA KATIKA KANISA LA MORAVIANI NYAKATO MWANZA.
Ibada hiyo iliongozwa na kusimamiwa na wana-uscf kutoka Bugando...
utaratibu wa riturugia ukurasa wa sita na kuendelea......
kiongozi wa ibada alikua kaka :LUGINIO ILOMO
Mhubiri alikua mratibu wa maombi kaka: SHADRACK MWAKYELU
Wazee wa kanisa walikua ni watumishi wa MUNGU

- Emmanuel
- Vallelian
Somo la kwanza Ayubu 28:1-28
Somo la pili 1wakorintho 6:19-23
Mahubiri;
- MUNGU ni NURU wala giza halimo ndani yake...
- Giza ni matendo yote ambayo hayampi MUNGU utukufu
- MUNGU hapendi michanganyo (leo upo kwake, kesho upo sehemu nyingine)
- Ni heri ukawa moto au baridi ijulikane
- Ukiwa vuguvugu atakutapika.....
- kumbuka jehanam ipo, kwa wale wanaotenda mambo yasiyompendeza MUNGU
Ibada hiyo iliambatana na changizo kwa ajili ya video-shooting ya kwaya inayotarajiwa kufanyika mnamo mwezi wa tatu mwaka huu..
TAFAKARI YA LEO: Je! ni jambo gani unalofanya linaloleta mchanganyo mbele za MUNGU?
UJUMBE : Kumbuka unaemwabudu ni MUNGU sio mwanadamu hata adanganywe. Siku zote tembea nuruni ili uweze kufika Mbinguni.......
.....asante kwa kutembelea blog hii (pia tunapatikana facebook tembelea na like uscf bugando)......
MUNGU akubariki..
IBADA YA JUMAPILI TAREHE 1-2-2014 KATIKA UKUMBI WA DARASA LA MD1

...........Ibada imeanza saa moja na nusu asubuhi na kuisha saa nne na dakika 45 asubuhi, ibada ilifunguliwa kwa maombi na wakristo wote wakiongonzwa na kiongozi wa ibada kaka LUGINIO ILOMO (MD5)..........

.......Ikafuatiwa na praise team.

mambo yakaendelea kuwa mazuri baada ya kwaya kuimba na kumsifu mungu kwa nyimbo mbili...
........msomaji wa somo la kwanza alisimama akasoma......
...baadae wageni kutoka chuo kikuu cha mtakatifu Agustino (SAUT)......

.......katibu mkuu uscf akasoma matangazo akishirikiana na makamu mwenyekiti wa usuf bugando ambaye aliwakaribisha wageni wetu wanakwaya kutoka uscf saut......
....praise team wakasimama kuimba kabla ya mchungaji kuanza kuhubiri....
....mchungaji alisimama na kufundisha juu ya madhara ya dhambi zinazofanywa kwa siri...
....tulipata neema ya kutafakari maneno haya kutoka katika biblia takatifu.....
Yoshua 7:1, 19:26 isaya 19:15 matendo ya mitume 5:1 zaburi 90:8 mithali 20:27
.....baadae ilifanyika harambee kwa ajili ya video shooting ya kwaya ikiongozwa na kaka Benard Masawe (md3) pamoja nae kaka Marko Hingi (md5)........
......mwenyekiti wa idara ya uinjilisti, kaka SHADRACK alipata nafasi ya kukumbusha juu ya ibada za katikati ya wiki (kila siku asubuhi saa 0600-0645 ni maombi , jumanne saa 1700-1800 ni kusifu na kuabudu, alhamisi saa1700-1800 ni neno, ushuhuda na majadiliano ya biblia)...
.................wageni waliimba wakati wa kutoka..........

................mwisho mchungaji akafunga ibada na kuwaombea wakristo wote baraka.............
TAFAKARI YA LEO; NI MAMBO GANI UNAYOFANYA KWA KUJIFICHA MBELE ZA WANADAMU AMBAYO NI CHUKIZO KWA MUNGU ?
UJUMBE: Huwezi kuficha jambo lolote mbele za MUNGU...
Mwisho MUNGU awabariki wote waliousika kwa namna moja au nyingine katika kuandaa na kusimamia ibada hii..
............asante kwa kutembelea blog hii (pia tunapatikana facebook tembelea na like uscf bugando) MUNGU AKUBARIKI......

Subscribe to:
Comments (Atom)