....hakika tunayosababu na kusudi la kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kipindi chote hiki cha mitihani ya kumaliza muhula(semista ya 2,4,6,8,10) pia na wengine wakiwa wanahitimu masomo yao moja kwa moja katika chuo Kikuu cha Sayansi ya Tiba Bugando na BMC kwa ujumla...
...Pia shukurani zetu za dhati ziwafikie wahitimu wote, tumeuona mchango wao na kujitoa kwao katika kumtumikia Mungu na USCF kwa ujumla..Mbarikiwe...
...Bila kuwasahau Viongozi na wanaUSCF wote kwa ujumla, hakika kazi yenu sio bure....
..Tusisahau kuwaombea mwaka wa kwanza wanaofika vyuoni, ili kila mtu akakamilishe kusudi alilolibeba katika kanisa la Mungu na chuo husika...
...Mwisho, tuzidi kuifanya kazi ya Mungu huko tulipo, tusichoke....
No comments:
Post a Comment