........hakika MUNGU ni mwema,...
...ilikuwa ni jumapili ya tarehe 08/ 03/2015 siku ambayo kwaya ya USCF Bugando (HAUTIKISIKI) walipopata neema ya kuhudumu katika ibada iliyofanyika katika kanisa la AICT(AFRICA INLAND CHURCH TANZANIA)- MAKONGORO (wana kekundu)......
.....ilikuwa ni ibada ya pili ambayo ilianza saa mbili asubuhi....
....mchungaji alihubiri Neno la Mungu....
....SOMO: KUSULUBIWA KWAKE TUMEPATA KUPONA..
...UJUMBE: kanuni za MUNGU lazima ziongoze maisha yako...
...Masomo: Wagalatia 2:20,
1 Wakorintho 1:18
Waefeso 1:7
2 Wakorintho 5:15
......baadhi ya picha ni kama zifuatazo...
.....mwanamama akishuhudia kazi ya madakitari....
.....washarika wakishuhudia hali halisi.....
.......vijana kazini.....
...kwa picha zaidi tembelea ukurasa wa picha.....
No comments:
Post a Comment