HALELUYA,KATIKA MAHAFALI YA 09 BUGANDO.
Hapo ni wahitimu, Mwenyekiti na makamu
wake wakipokea zawadi ambayo ni computer.
Ni wahitimu wakitumbuiza nyimbo zao maalumu mbili za shukrani kwa Mungu kuwaongoza
kipindi kizima cha masomo yao nyimbo zilivuta hisia sana. Mungu awabariki kila waendapo.
hiyo ni keki iliyo tengenezwa kwa umalidadi sana. keki ilibarikiwa kwani kupitia keki
tulipata fedha karibu na milionni 2, kweli wahitimu walijipanga kujenga UKWATA.
Ni wenyeviti walio fuatana kiuongozi, shukrani zimwendee mwenyezi Mungu na wenyeviti wote
walio tangulia kwa kuweka msingu mzuri wa UKWATA Bugando.
Mungu akubariki sana soma zab:133.