CCT UKWATA BUGANDO KWAYA.

shukrani zetu.
KWAYA YA UKWATA BUGANDO TUNAMSHUKURU MWENYEZI MUNGU KWA KUTUWEZESHA KUNASISHA SAUTI ILI KUTENGENEZA ALBUM YA PILI.TUNA MSHUKURU PIA KILA MMOJA ALIYE KUWA AKIOMBA NASI ILI KUFANIKISHA SHUGHULI HII MUNGU AKUBARIKI SANA.KWA SASA IPO MIKONONI MWA PRODUCER TUZIDI KUOMBA IFANYIWE MIXING NZURI.BAADA YA KUFUNGUA CHUO KUTAKUWA NA UZINDUZI WA HIYO ALBUM.

 
ni kwa kipindi hicho awamu ya kwanza, inayo fuata kwa utukufu wa Mungu
itakuwa juu zaidi. tuombeane.
 

YALIYO JILI KATIKA MAHAFALI 2013

HALELUYA,KATIKA MAHAFALI YA 09 BUGANDO.

TUNAMSHUKURU MUNGU KWA KUFANIKISHA MAHAFALI HII YA 9 KATIKA CHUO CHETU.MUNGU AWABARIKI WOTE MLIO SHIRIKI KUFANIKISHA KWA MAOMBI NA MALI.
Hapo ni wahitimu, Mwenyekiti na makamu
wake wakipokea zawadi ambayo ni computer.
Ni wahitimu wakitumbuiza nyimbo zao maalumu mbili za shukrani kwa Mungu kuwaongoza
kipindi kizima cha masomo yao nyimbo zilivuta hisia sana. Mungu awabariki kila waendapo.

hiyo ni keki iliyo tengenezwa kwa umalidadi sana. keki ilibarikiwa kwani kupitia keki
tulipata fedha karibu na milionni 2, kweli wahitimu walijipanga kujenga UKWATA.


Ni wenyeviti walio fuatana kiuongozi, shukrani zimwendee mwenyezi Mungu na wenyeviti wote
walio tangulia kwa kuweka msingu mzuri wa UKWATA Bugando.
Mungu akubariki sana soma zab:133.